Photo Gallery

WAZIRI WA AFYA, UMMY MWALIMU ATOA HUNDI KWA WAJASIRIAMALI WALIONUFAIKA NA BENKI YA DCB.

  

1. Waziri wa Afya,Maendeleo Jamii, Jinsia,Wazee na Watoto, Ummy Mwalimu akimkabidhi tuzo Mbunge wa Njombe Kusini, Edward Mwalongo kwa kwa kupaza sauti katika bunge juu ya mtoto wa kike kupewa dhana ya kujikinga wakati wa hedhi ili aweze kusoma katika maadhimisho ya siku ya wanawake duniani Mkoa wa Dar es Salaam yaliyofanyika katika viwanja vya Biafra jijini Dar es Salaam

2. Waziri wa Afya, Maendeleo Jamii, Jinsia,Wazee na Watoto, Ummy Mwalimu akimkabidhi hundi ya sh.milioni tano, Dereva wa Bodaboda, Sikudhani Daudi zilizotolewa na Benki ya DCB ikiwa na lengo ya kukuza biashara katika maadhimisho ya siku ya wanawake duniani Mkoa wa Dar es Salaam yaliyofanyika katika viwanja vya Biafra jijini Dar es Salaam.

 

  

3. Wanawake wakiwa wameketi wakimsikiliza Waziri wa Afya,Maendeleo Jamii, Jinsia,Wazee na Watoto, Ummy Mwalimu (hayupo pichani) katika maadhimisho ya siku ya wanawake duniani Mkoa wa Dar es Salaam yaliyofanyika katika viwanja vya Biafra jijini Dar es Salaam.

4. Wanawake katika vikundi vilivyopata mkopo katoka kwa benki ya DCB wakiwa katika picha ya pamoja na hundi zao leo katika siku ya maadhimisho ya siku ya wanawake Mkoa wa Dar es Salaam yaliyofanyika katika viwanja Biafra leo.


 Wanawake wa Mamlaka ya Chakula na Dawa (TFDA) wakiwa na bango katika maadhimisho ya siku ya wanawake duniani Mkoa wa Dar es Salaam yaliyofanyika katika viwanja vya Biafra jijini Dar es Salaam.

 

DCB YATOA HUNDI YA SHILINGI MILIONI 10 KUCHANGIA UJENZI WA KITUO CHA POLISI CHANIKA, DAR ES SALAAM. TUKIO HILO LILIFANYIKA KATIKA OFISI YA MKUU WA MKOA WA DAR ES SALAAM MARCH 2016

 

 

 

 

 

DCB ILIVYOWATUZA WAFANYAKAZI WAKE AUGUST 2014

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

DCB YATOA GAWIO KWA WANAHISA WAKE SHS. 1.8 BILLION

 

 

 

 

 

 

 

2012 DIVIDEND CHEQUES HANDOVER CEREMONY

 

 

 


 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

11TH ANNUAL GENERAL MEETING


 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

DCB HOLDS PRESS CONFERENCE ANNOUNCING THE OUTCOME OF THE BANK'S CAPITAL BUILD UP. DCB'S CAPITAL REACHED TZS 28.2 BILLION 

 
 

 

 

 

 
 
 
BEST PRESENTED FINANCIAL STATEMENTS FOR THE YEAR 2011 AWARD BY NBAA
 
 
 
 
OFFICIAL OPENING OF DCB TWINS BRANCHES - UKONGA AND CHANIKA 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 

 

 
FINANCIAL AND INVESTMENT SERVICE WEEK EXHIBITION 2012 AWARD

 

 
 
 
OFFICIAL LAUNCHING OF THE NEW NAME 
DCB COMMERCIAL BANK PLC