Bank
Escalation Process
| 
   Je, Umeridhika na Huduma Zetu? “ONGEA NASI”  | 
 
| 
   DCB
  mteja kwetu ni mfalme, tutaendelea kutoa huduma zilizo bora ili kukidhi
  mahitaji ya wateja wetu huku tukihakikisha tunafuata kanuni na misingi ya
  huduma kwa wateja. Tunatoa
  huduma zenye uweledi, rafiki na kwa wakati ili kuongeza thamani ya huduma
  zetu.  | 
| 
   HATUA YA 1 I MASAA 24 
 Wafanyakazi wa matawi ya DCB Meneja uhusiano 
 Huduma kwa wateja  | 
  
   HATUA YA 2 I SIKU 1-3 
 Ongea na meneja wa tawi  | 
  
   HATUA YA 3 I SIKU 4-10 
 Ikiwa hujaridhika na
  majibu kutoka kwa meneja wa tawi wasiliana na meneja huduma kwa wateja
  Kupitia nambari ya simu +255222172201 au  customerexperience@dcb.co.tz  | 
 
| 
  
   
 Ikiwa hujaridhika na majibu kutoka kwa meneja Huduma kwa wateja wasiliana na Mkurugenzi wa Biashara kwa barua pepe info@dcb.co.tz au kupitia sanduku la posta hapo chini  | 
  
 
| 
  
   Ikiwa hujaridhika na majibu kutoka kwa mkurugenzi wa biashara wasiliana na mkurugenzi mkuu kupitia barua pepe info@dcb.co.tz au sanduku la posta hapo chini 
 DCB House, Magomeni mwembechai, Morogoro Road, S. L. P. 19798, Dar es salaam, Tanzania. 
 
 Asante kwa kutumia Huduma zetu za kibenki  | 
  
 
@dcbbanktz
| 
   | 
  
   www.dcb.co.tz  |